Mcheza gofu maarufu na kiongozi ameamua kutumia ujuzi wa gofu katika kulenga mashimo na sasa analenga vizuri katika uwindaji .
Wanachama wa TACHA na wadau mbalimbali wakishiriki Range.
Uongozi wa Tacha unapenda kuwakumbusha katika kikao kilichofanyika tarehe 15/2 na maamuzi yaliyofanyika kuhusu range.
Kwenye picha , tukumkabidhi Mheshimiwa Katiba , Hati na Maoni ya TACHA
Mkutano wa TACHA na Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii
Siku ya tarehe 11 may 2019 kikao cha Task force kilifanyika na kuazimia yafuatayo