WATUNZAJI WA RASLIMALI NA MALIASILI WAKUBWA NI WANAWAKE. MFANO MZURI NI MWANACHAMA FINA MWANAMBILIMBI KWA JINA LA UWINDAJI NI KASONGO LADY
Tarehe 09 April 2025 Mwenyekiti wa Tacha Col Thomas Ndonde rtd na Makamu mwenyekiti walikutana na Mwenyekiti wa board TFS Major General Dr Mbaraka N Mkeremi NDC na Conservation Commissioner Prof Dos Santos Silayo TFS, mjini Morogoro.Lengo kuu ilikuwa ni kujitambulisha na kuona namna gani Misitu ya TFS, inaweza kutumika kwa kufuga wanyama pori. (Picha) Kutoka kushoto Prof Dos Santos Silayo, Mr Raymond Shauri,Maj Gen MN Mkeremi, Col TJ Ndonde rtd.
Mvua zilizoanza kunyesha zimeharibu daraja
UJUMBE WA VIONGOZI WA TACHA WALITEMBELEA MASHAMBA YA WANYAMA PORI NCHINI AFRIKA YA KUSINI KWA MWALIKO WA WRSA KUANZIA TAREHE 04 MAR 2024 HADI TAREHE 10 MAR 2024 NA BAADAE ZIARA BINAFSI NA KUREJEA NCHII TAREHE 19 MAR 2024
TACHA kupitia serikali ya kijiji ilipatiwa ombi la msaada wa kisima cha maji safi, kwa msaada wa patron wa chama, kilichimbwa kisima chenye gharama ya Tshs 36,000,000/= kwa ajilii ya kuwapatia maji safi wana kijiji cha Mtepera.